Utalii

Mabalozi Norway, Uswisi kushuhudia tamasha Mtwara

MTWARA: MABALOZI wa Norway na Uswisi nchini Tanzania, wanatarajiwa kuhudhuria tamasha la ngome za asili za makabila yanayoishi mkoani Mtwara.…

Soma Zaidi »

Watalii kutoka Denmark wajinafasi ofisi za TSN Mwanza

MWANZA; Watalii kutoka nchini Denmark wako jijini Mwanza, Tanzania, kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii wilayani Ukerewe. Kabla ya kuelekea Ukerewe…

Soma Zaidi »

Mikakati utalii wa Kusini wananchi kunufaika

SERIKALI kupitia Bodi ya Utalii(TTB) imeweka mikakati ya kukuza utalii wa Kusini kupitia mradi wa Regrow kwa kutumia watu maarufu…

Soma Zaidi »

Mkonge kuuzwa soko la utalii Zanzibar

TANGA: Katika mwendelezo wa kuhamasisha matumizi ya bidhaa za mkonge nchini, Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), imedhamiria kulifanya zao hilo…

Soma Zaidi »

Kairuki aagiza maboresho maonesho ya utalii

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amewataka waandaaji wa maonesho ya Utalii ya Kimataifa ya Swahili (SITE) kuyaboresha zaidi…

Soma Zaidi »

Tembo 500 kupelekwa Burigi, Hifadhi Rumanyika

TEMBO 500 wanatarajiwa kuhamishwa kutoka kwenye msitu unaozunguka Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera na kupelekwa hifadhi ya Burigi Chato na…

Soma Zaidi »

Waziri Kairuki akutana na Rais wa Utalii Duniani

SAUDIA ARABIA; Riyadh. Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Rais ambaye pia ni Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Watalii wakoshwa na tamaduni za asili

IRINGA:Watalii wanaokwenda au kutoka katika Hifadhi ya Taifa Ruaha,mkoani Iringa wamedaiwa kufurahia utalii wa utamaduni unaofanywa na vikundi vya kijamii…

Soma Zaidi »

TAWA kuimarisha ulinzi wa wananchi dhidi ya wanyamapori

MOROGORO:Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), imesema itaendelea kuimarisha  ulinzi wa wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori wakali…

Soma Zaidi »

Maeneo ya kihistoria kuifungua zaidi Singida

SINGIDA: Ugunduzi wa maeneo mapya ya masalia ya binadamu wa kale, zana za mawe na michoro ya miambani eneo la…

Soma Zaidi »
Back to top button