Utalii

Mchengerwa azipa neno TTB, Tanapa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezitaka Bodi za Utalii (TTB) na Bodi ya Udhamini ya Shirika la Hifadhi…

Soma Zaidi »

Watumishi Tanapa kupewa mafunzo ya kijeshi

MWENYEKITI Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Generali Mstaafu, George Waitara amesema muda umefika kwa shirika hilo…

Soma Zaidi »

Majaliwa aitaka TANAPA kujipanga watalii kutoka Urusi

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya hifadhi za Taifa (TANAPA) kuandaa mazingira rafiki kwa ajili ya watalii kutoka Urusi…

Soma Zaidi »

Kumenoga Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

HIFADHI ya Taifa Nyerere (zamani Selous), imekuwa kivutio cha wa watalii wengi kutoka ndani na nje ya nchi, kwa utalii…

Soma Zaidi »

Vita ya Urusi ‘ilivyomhamishia’ raia wa Ukraine kijijini Kizimkazi-Unguja  

Kizimkazi ni kijiji kilichopo katika Kata ya Kizimkazi Mkunguni, takribani 56 kutoka Mjini Unguja, Zanzibar. Wenyeji wa eneo hili, lenye…

Soma Zaidi »

Tanapa, TTB waguswa tuzo Serengeti, Tarangire

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) wamesema tuzo walizopata hifadhi za taifa za…

Soma Zaidi »

Boateng, Coman, Kimmich watua Serengeti

WACHEZAJI kutoka Bayarn Munchen, Joshua Kimmich, Kingsley Coman na aliyekuwa beki wa timu hiyo, Jerome Boateng wote kutoka Taifa la…

Soma Zaidi »

Mpaka Hifadhi ya Ruaha warekebishwa

SERIKALI imewasilisha rasmi bungeni Azimio la kurekebisha mpaka wa Hifadhi ya Taifa Ruaha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa…

Soma Zaidi »

TTB kuweka mikakati ya kutangaza utalii

BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imesema ipo kwenye utekelezaji wa mikakati miwili ya utangazaji utalii wa Kusini mwa Tanzania kuanzia…

Soma Zaidi »

Bongozozo atangaza utalii Kusini

BALOZI wa hiari wa kutangaza utalii wa Kusini mwa Tanzania, Nicholas Reynolds maarufa kama Bongozozo amesema baada ya kufanya ziara…

Soma Zaidi »
Back to top button