Utalii

Wastaafu wahamasishwa kufanya utalii wa ndani

Kikundi cha wastaafu kutoka kijiji cha Kididumo,  mkoani Morogoro wametembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni pamoja na Kijiji cha Makumbusho…

Soma Zaidi »

TRC,TANAPA kushirikiana kukuza utalii

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limesema itashirikiana na  Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), kukuza utalii wa ndani, baada ya…

Soma Zaidi »

Migogoro binadamu, wanyama kupatiwa dawa

SERIKALI ya Tanzania, imepokea Euro milioni sita, sawa na Sh bilioni 13.2 kutoka Shirika la Ujerumani la GIZ, kwa ajili…

Soma Zaidi »

China yazidi kutangaza utalii wa Tanzania

UBALOZI wa Tanzania nchini China umesema filamu ya ‘Tanzania: The Royal Tour’ imeoneshwa katika mtandao maarufu wa Haokan nchini China.…

Soma Zaidi »

Mkonge wamvuta mwana wa mfalme nchini

BODI ya Mkonge Tanzania (TSB) imesema iko tayari kushirikiana na Falme ya Babina Noko Ba Mampuru iliyopo katika Jimbo la…

Soma Zaidi »

Kabudi ahimiza utunzaji misitu

MBUNGE wa Kilosa, mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi  amewataka wananchi kutunza misitu. Profesa Kabudi alisema hayo jumatano katika Kata ya…

Soma Zaidi »

Panzi mwenye rangi ya Taifa ajengewa mnara Dar

PANZI mwenye rangi sawa na bendera ya Tanzania, anayepatikana katika hifadhi ya mazingira asilia Pugu Kazimzumbwi, Wilaya ya Kisarawe, Pwani…

Soma Zaidi »

Faru waongezeka kwa asilimia 11

SHIRIKA la kimataifa la wanyamapori limesema Kenya imekuwa na ongezeko la asilimia 11 ya idadi ya faru kutoka 1,441 mwaka…

Soma Zaidi »
Back to top button