Utalii

‘Twenzetu Kileleni’ kuadhimisha Uhuru Tanganyika

SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limezindua msimu wa nne wa kampeni ya Twenzetu Kileleni huku wakihimiza Watanzania kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »

Waiomba serikali ukarabati wa barabara Serengeti

WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kuwapatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi…

Soma Zaidi »

TUGHE yamuunga Mkono Rais Samia

WAGENI zaidi ya 800 kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) wamefanya ziara ya kihistoria katika eneo la…

Soma Zaidi »

Mawaziri wa Utalii Afrika wakutana Zambia

ZAMBIA:  Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Zurab Pololikashvili amezitaka nchi za Afrika…

Soma Zaidi »

Aliyetafiti kuhusu sokwe afunguka wanavyopungua

DAR ES SALAAM; MTAFITI mwandamizi aliyepaisha Hifadhi ya Gombe iliyopo mkoani Kigoma kwa kutafiti kuhusu maisha na tabia za sokwe,…

Soma Zaidi »

Jane Goodall apewa barabara Kigoma Ujiji

KIGOMA:Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji imempa jina la barabara Mwanamazingira maarufu duniani Mama Jane Goodall kwa mchango wake katika…

Soma Zaidi »

Kairuki ataka TAWA kuongeza mapato, kudumisha ujirani mwema

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) hiyo kuhakikisha miradi ya ujirani…

Soma Zaidi »

Tanzania, Indonesia kushirikiana sekta ya Utalii

DODOMA: Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zinajipanga kushirikiana katika masuala ya utangazaji utalii, kubadilishana uzoefu katika masuala ya…

Soma Zaidi »

RC Tanga atangaza fursa za Utalii

TANGA; Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dk Batilda Burian amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Dk Samia…

Soma Zaidi »

Wabunge Marekani waimwagia sifa Tanzania

KILIMANJARO: WAWAKILISHI 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania…

Soma Zaidi »
Back to top button