Zanzibar

SMZ kushirikiana na SADC uboreshaji wa mawasiliano

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema Tanzania itashirikiana na nchi nyingine za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuboresha…

Soma Zaidi »

Miradi ya tril 7.127/- yasajiliwa Zanzibar

KATIKA kipindi cha miaka miwili, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) chini ya uongozi wa Dk Hussein Mwinyi, imefanikiwa kusajili miradi…

Soma Zaidi »

Zanzibar kuna watu 1,889,773

WAKATI idadi ya Watanzania wote ni 61,741,120, Zanzibar kuna watu 1,889,773 Hayo yamebainishwa na Rais Samia Suluhu Hassan, muda mfupi…

Soma Zaidi »

Watakiwa kusimamisha ujenzi Tunguu

WAZIRI wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar, Rahma Kassim Ali, amewataka wote walivamia eneo la Serikali, liliopo Tunguu Mkoa…

Soma Zaidi »

Maandalizi Siku ya Chakula yanoga Pemba

WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shaame, amesema maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani itakayoadhishwa…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aagiza mabalozi fursa za uchumi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Zimbabwe, Zambia na Uholanzi,…

Soma Zaidi »

Serikali yahimiza kilimo cha maparachichi

WAKULIMA nchini wametakiwa kujikita katika kilimo cha maparachichi ambapo utafiti uliofanywa unaonesha kwamba zao hilo linastawi na linaweza kukidhi mahitaji…

Soma Zaidi »

Bil 2.3/- kujenga ofisi ya Zipa Mazizini

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imetenga Sh bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi wa ofisi ya Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aagiza ulinzi vyanzo vya maji

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameziagiza taasisi zinazosimamia masuala ya maji safi na salama ikiwamo Wizara ya Maji, Nishati…

Soma Zaidi »

Dk Mwinyi aeleza mabadiliko sheria ya Kadhi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema ana matumaini kuwa mabadiliko ya Sheria ya Makadhi yataondoa utata na migongano ya…

Soma Zaidi »
Back to top button