CCM masikio Kamati Kuu leo uteuzi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa kuteua wanachama wa chama hicho walioomba kugombea ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi wa jimbo na viti maalumu.