CCM yaweka ukomo ubunge, udiwani Viti Maalumu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka ukomo wa ubunge na udiwani wa Viti Maalumu. Taarifa ya Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Oganaizesheni, Issa Haji Ussi imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na kikao maalumu cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Ussi alieleza kuwa CCM imeweka ukomo wa … Continue reading CCM yaweka ukomo ubunge, udiwani Viti Maalumu