CCM yazuia wapambe, misafara uchukuaji fomu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku kwa mwanachama yeyote anayeomba kugombea uongozi kualika kundi la wapambe kumsindikiza kwenda ofisi za chama kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea. Pia, kimepiga marufuku kwa mwanachama kuandaa msafara wa magari, pikipiki, baiskeli, ngoma na matarumbeta ya kumsindikiza kwenda ofisi za CCM kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea. Katika taarifa … Continue reading CCM yazuia wapambe, misafara uchukuaji fomu