Rais Samia apangua Safu ya Wakuu wa Mikoa

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa leo Mei 15,2023
Amemuhamisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza huku Albert Chalamila aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Kagera akichukua nafasi ya Makala.
Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adamu Malima amehamishiwa Morogoro huku aliyekua Morogoro Fatma Mwanza akipelekwa Kagera