WACHEZAJI wa kimataifa wa timu za Simba na Yanga kutoka kushto, Clatous Chama, Fiston Mayele, Kennedy Musonda na Henock Inonga wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Wachezaji hao wanaenda kuchezea nchi zao katika michuano ya kuwania kufuzu fainali za Afrika (AFCON, ambapo Chama na Musonda ni Zambia, wakati Inonga na Mayele ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).