Changamoto maeneo ya malisho kumalizwa

TANGA; Handeni. Waziri wa mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema serikali inatafuta suluhu ya kudumu katika kuondoa changamoto ya uvamizi wa maeneo yote ya malisho, ili kusaidia wafugaji kufuga vizuri, huku wakiwa na uhakika wa chakula cha kutosha kwa mifugo yao.

Waziri Ulega ametoa kauli hiyo kijijini Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga, alipowatembelea wakazi wa eneo hilo ili kujionea shamba darasa la malisho lenye ukubwa wa hekari 20.

Amesema taratibu zitakazowekwa ni lazima zisimamiwe na mamlaka za wilaya na yeyote akatakayekiuka atachukuliwa hatua za kisheria.

Mkuu wa wilaya ya Handeni Albert Msando amesema wakazi wa kijiji cha Msomera hawana tatizo lolote na serikali wala wizara hiyo, hivyo kuiomba jamii kupuuza yanayosemwa na baadhi ya watu wasioitakia mema serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.

Amesema Kijiji cha Msomera ni kijiji kilichopangwa kwa kufuata mpango wa matumizi bora ya ardhi, ikiwa ni pamoja na kutenga maeneo ya malisho na josho kwa ajili ya mifugo.

Kwa awamu ya kwanza mpaka sasa tayari kaya 500 zimeshaanza makazi mapya kijijini Msomera, zikitokea hifadhi ya taifa ya Ngorongoro na awamu ya pili ya kuwapokea wengine inatarajia kuanza wiki ijayo Septemba 25.

 

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
6 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
KarenRosado
KarenRosado
11 days ago

I am now making more than 350https://s.w.org/images/core/emoji/14.0.0/svg/1f4b0.svg dollars per day by working online from home without investing any money.Join this link posting job now and start earning without investing or selling anything……. 
ūüôā AND GOOD LUCK.:)..____ http://Www.Careers12.com

Last edited 11 days ago by KarenRosado
Julia
Julia
11 days ago

Mike, you wrote a fantastic essay. I appreciate your efforts; I’m presently making more than $35,000 per month from a simple online job! I know you’re making a lot of money online today, beginning with $28,000 and working your way up.
.
.
Detail Here——————————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

Royal
11 days ago

I just got paid $7268 to work on my laptop this month. And if you think that’s cool, my divorced friend has toddler twins and made over $13,892 in the first month. It’s great to earn a lot of money while others have to work for much lower wages.
That’s what I do…….. http://www.works75.com

Last edited 11 days ago by Royal
Next King of Tanzania
Next King of Tanzania
11 days ago

‚ÄúJENGA UKIFA UTAZIACHA NA WATOTO WENU WATAUZIUZA‚ÄĚ BY SAMIA SULUHU HASANI

 

HIVI MWANADAMU AKIFA HUWA AACHA NINI KULE BY TULIA AKSON

AKUTA NYOKA KWENYE VIATU VYAKE, AUMWA NA KUFA HAPO HAPO

HATA UTARATIBU TULIOUJENGA INABIDI TUFE TUUACHE WAKITAKA WAKUUZE ULAYA

Capture.JPG
Next King of Tanzania
Next King of Tanzania
11 days ago

‚ÄúJENGA UKIFA UTAZIACHA NA WATOTO WENU WATAUZIUZA‚ÄĚ BY SAMIA SULUHU HASANI

 

HIVI MWANADAMU AKIFA HUWA AACHA NINI KULE BY TULIA AKSON

AKUTA NYOKA KWENYE VIATU VYAKE, AUMWA NA KUFA HAPO HAPO

HATA UTARATIBU TULIOUJENGA INABIDI TUFE TUUACHE WAKITAKA WAKUUZE ULAYA….

Capture.JPG
I MISS YOU BY Diamond Platnumz
I MISS YOU BY Diamond Platnumz
10 days ago

Tunatafuta KILICHO POTEA KAMPUNI YA KAKA, MJOMBA, SHAMBAZI, MWANDANGU, BABA MDOGO, NILISOMA NAYE INAKULETEA MRADI MKUBWA WA SIMU ZA MTAANI KILA MTAA SIMU MOJA… Mahusiano Tajirika Sasa Kitaa Kinamsaada

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

Raha za I MISS YOU BY Diamond Platnumz

Capture1.JPG
Back to top button
6
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x