Chongolo ataka madeni ya wazabuni yalipwe Songwe

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameziagiza halmashauri za wilaya mkoani humo kuhakikisha zinalipa madeni ya wazabuni na watumishi yaliyokaa zaidi ya miaka minane kwa baadhi ya halmashauri tangu watoe huduma, hali inayosababisha malalamiko mengi. Chongolo alisema katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika hivi karibu kwa ajili ya … Continue reading Chongolo ataka madeni ya wazabuni yalipwe Songwe