Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya CSKA Moscow ya Urusi na Simba ya Dar es Salaam mchezo unaofanyika Abu Dhabi. CSKA inaongoza mabao 2-0.