Daktari wa Azam FC afariki dunia
DAKTARI wa klabu ya Azam, Mwanandi Mwankemwa amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke
Taarifa ya kifo chake imethitishwa na klabu hiyo kupitia mitandao yao ya kijamii.
“Kwa masikitiko makubwa tunapenda kutangaza kifo cha Daktari wetu, Dr. Mwanandi Mwankemwa”. imeeleza taarifa ya klabu hiyo.
Azam imeeleza itatoa taarifa zaidi za msiba huo.