DART yasaini mikataba kuleta mabasi 932
DAR ES SALAAM; WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), umesaini mikataba na watoa huduma binafsi kwa ajili ya kuleta mabasi mapya 932 kwa awamu ya kwanza na ya pili hadi ifikapo Oktoba mwaka huu. Mtendaji Mkuu wa Dart, Dk Athumani Kihamia alisema hayo ofisini kwake Dar es Salaam jana wakati akizungumza na wanahabari. Dk Kihamia … Continue reading DART yasaini mikataba kuleta mabasi 932
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed