DC Temeke, Kilindi watumbuliwa

Kaji, Matinyi wateuliwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika safu ya wakuu wa wilaya leo Julai 2, 2023.

Rais Samia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mwanahamisi Munkunda na kumteua Mobhare Holmes Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Abel Yeji Busalama,amemhamisha kituo Mkuu wa Wilaya ya Tanga Hashim Shaib Mgandilwa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi.

Amemteua James Wilbert Kaji  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini

Taarifa hiyo imetolewa na na kurugenzi ya mawasiliano ikulu na kusainiwa na Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Julia
Julia
2 months ago

Making an extra $15,000 per month from home by doing simple copy and paste like online work. I earned $18,000 from this simple at-home job. Everyone can now easily generate extra money online.
.
.
Detail Here———————————————————–>>>  http://Www.OnlineCash1.Com

Last edited 2 months ago by Julia
Dorothy G. Christopher
Dorothy G. Christopher
2 months ago

I’m earning a respectable $60k/week from home, which is amazing considering that a year ago I was unemployed in a terrible economy. These instructions cs11 were a gift, and now it’s my responsibility to spread kindness and make them available to everyone.
.
.
Information Is Here———————————————>>>  http://www.pay.hiring9.com

Back to top button
2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x