Dhamana ya vyombo vya habari wakati wa uchaguzi

KATIKA uchaguzi wowote duniani, vyombo vya habari vina dhima na mchango mkubwa wa kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi zinazohusu uchaguzi kabla wakati na baada ya uchaguzi. Kutokana na ukweli huo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Nchini (TBC) anasema hata katika uchaguzi huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 vyombo vya habari ni mhimili muhimu ili … Continue reading Dhamana ya vyombo vya habari wakati wa uchaguzi