Diamond apata shemeji

DAR ES SALAAM: DADA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayefahamika kwa jina la Esma Abdul ‘Esma Khan’ amefunga ndoa na Rashid Shaibu ‘Jembe one’ meneja wa msanii Mavokali.
Ndoa hiyo imefungwa usiku wa kuamkia leo katika msikiti wa Akram uliopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.
Ikumbukwe kuwa Esma alishawai kuolewa miaka kadhaa nyuma.