Dira ya 2025 yaiimarisha nchi

SERIKALI imesema Dira ya Taifa ya mwaka 2000 _ 2025 imeuwezesha uchumi wa nchi kuwa himilivu. Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk Fredy Msemwa alisema hayo Dodoma jana wakati akitoa taarifa kuhusu kukamilika kwa mchakato wa maandalizi ya Dira ya mwaka 2025- 2050 itakayoanza kutumika Julai mwakani. Dk Msemwa alisema Dira 2025, … Continue reading Dira ya 2025 yaiimarisha nchi