MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, leo amezindua stendi ya mabasi na maegesho ya malori ya Nyamhongolo jijini Mwanza.
Uzinduzi huo umehudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima, Mbunge wa Ilemela, ambaye pia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula.
Miradi hiyo miwili imegharimu jumla Sh bil.
26.6.