Dk. Mwinyi akipigia chapuo kilimo hai

RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inatambua fursa zilizopo katika Kilimo hai kupitia mkakati uliondaliwa na Wizara ya kilimo kwa kushirikiana na wadau utakuwa ni suluhisho kwa changamoto za sekta ya Kilimo Hai ikiwemo upatikanaji wa pembejeo za kibaolojia, elimu kwa wakulima na wafugaji pamoja na upatikanaji wa masoko ya ndani na nje ya nchi ya bidhaa zinatokana na Kilimo Hai.

Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo Septemba 27, 2023 wakati akifungua Tamasha la Kilimo Hai na kutembelea mabanda ya maonesho katika viwanja vya Dole Kizimbani, Mkoa wa Mjini Magharibi .

Aidha, Rais Dk.Mwinyi ameeleza matumaini yake kupitia mkakati uliondaliwa na Serikali kuwa utatengeneza programu madhubuti ya utekelezaji ya kuwapa fursa vijana kwa kuanzisha biashara za kutengeneza viatilifu na mbolea hai ili kusaidia upatikanaji wa masoko ya ndani na nje ya nchi na kuitangaza Zanzibar kuwa kivutio cha kijani na kuendana na utalii endelevu.

Hali kadhalika Rais Dk.Mwinyi ametoa wito katika utoaji wa elimu kwa watumiaji na walaji kuzifahamu faida za Kilimo Hai kuepusha chakula kinachozalishwa kupitia matumizi ya kemikali ili kupunguza maradhi yasiyoyambukiza ikiwemo saratani, shinikizo la damu na kisukari.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
DoveDeitra
DoveDeitra
2 months ago

★Makes to per day online work and i received in one month online acting from home.I am a daily student and work simply one to a pair of hours in my spare time. (q 00q) Everybody will do that job online and makes extra cash by simply on this website
Just open the link══════►►► http://Www.SmartCareer1.com

juliya
juliya
Reply to  DoveDeitra
2 months ago

I just started 7 weeks ago and I’ve gotten 2 checks for a total of $2,000…this is the best decision I made in a long time! “Thank you for giving me this extraordinary opportunity to make extra money from home. go to this site for more details…open this web…………
See Here .. http://Www.Smartwork1.com

Last edited 2 months ago by juliya
TrinaNegrete
TrinaNegrete
2 months ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 2 months ago by TrinaNegrete
money
money
2 months ago

Mashindano ya nani kuhinda kwenye neno “ABROAD“ NCHINI TANZANIA!?

MJERUMANI

MHINDI

MTANZANIA

MKENYA

MNIGERIA

MHISPANIA

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

NANI AINGIZE NDEGE ZA KWENDA KUMSALIMIA BABU NA BIBI, KWA ALIYESHINDA KULELEWA NA BIBI TU!?

Capture1.JPG
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x