Dk Mwinyi aongoza kikao, Kamati Kuu CCM

KISIWANDUI, Zanzibar: MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe leo Mei 19, 2024.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM taifa, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais, Isdor Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa sanjari viongozi, wajumbe wengine wa chama hicho.
Soma pia: https://www.instagram.com/p/C7JkG58ugtZ/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Soma pia: https://www.instagram.com/p/C7JaQiatjGv/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==