ZANZIBAR: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Emmanuel Nchimbi (katikati), akiwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally na Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar.
–
Dk Nchimbi amelazimika kukatisha ziara yake nchini India ili kushiriki msiba wa Mwenyekiti wa CCM Mstaafu na Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi yanayofanyika leo mjini Zanzibar.
Home Dk Nchimbi akatisha ziara India