Dk. Nchimbi: Kauli za wanasiasa zisiwe mbegu ya migogoro

DAR ES SALAAM; Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa rai kwa wanasiasa wote nchini kuwa waangalifu na kauli wanazotoa hadharani, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Ametahadharisha kuwa baadhi ya matamko ya kisiasa yanaweza kuwa chanzo cha migogoro ya kijamii na kitaifa iwapo hayatatazamwa kwa makini. Akizungumza Dar … Continue reading Dk. Nchimbi: Kauli za wanasiasa zisiwe mbegu ya migogoro