Dk. Tax amuwakilisha Rais Samia

WAZIRI  wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Dkt. Stergomena Tax amewalisili Maseru, Lesotho kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan kwenye uapisho wa Waziri Mkuu Mteule wa Falme ya Lesotho,  Ntsokoane Samuel Matekane.

Uapisho huo umefanyika leo tarehe 28 Oktoba 2022 katika uwanja wa Setsoto Maseru.

Advertisement

Mara baada ya kuwasili Lesotho, Dkt. Tax alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini,  Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *