KIUNGO mshambuliaji wa PSG, Julian Draxler huenda akajiunga na Al-Ahli.
Kwa mujibu wa taarifa ya Fabrizio Romano, klabu hiyo imewasilisha ombi PSG kwa ajili ya vipimo vya afya kwa mchezaji huyo.
Nakubaliano yapo katika hatua za mwisho ya kujiunga ba timu hiyo.
Comments are closed.