EPL kuendelea leo

LIGI Kuu nchini England ‘EPL’ inaendelea leo kwa michezo kadhaa, mchezo wa mapema utakuwa kati ya Crystal Palace dhidi ya Liverpool saa 9:45 Alasiri.

Michezo mingine itayopigwa saa 12 jioni, Brighton dhidi ya Burnley, Manchester United itakuwa Old Trafford kuwaalika Bournemouth, Sheffield United dhidi ya Brentford.

Mchezo mwingine utakaopigwa muda huo, Wolver dhidi ya Notts Forest.

Mchezo wa mwisho kwa leo, Aston Villa itakuwa Villa Park kuwakaribisha Arsenal.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button