Fabio Grosso kocha mpya Lyon

BEKI wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Italia, Fabio Grosso anakaribia kujiunga na timu ya Olympique Lyon kama kocha mkuu.

Imeelezwa makubaliano kati ya timu hiyo na Grosso yamekamilika na kinachosubiriwa ni kusaini nyaraka za mkataba.

Habari Zifananazo

Back to top button