Feisal, Aucho wamtesa Nabi

KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kukosekana kwa kiungo Feisal Salum kumeifanya timu yake kutocheza kwenye kiwango bora kama ilivyokuwa siku za nyuma.

Akizungumza na HabariLEO, kocha huyo ameeleza kuwa pamoja na ushindi ambao timu yake inaupata kwenye ligi,lakini inawalazimu kupambana sana na hiyo inatokana na maingizo mapya kwenye kikosi chao.

“Kukosekana kwa Feisal Salum na Khalid Aucho kunaisumbua, sababu walishatengeneza ushirikiano mzuri na wachezaji wengine, lakini hiyo pia inatokana na wachezaji wapya ambao tumewangiza kwenye timu bado hawajazoeana vizuri na wachezaji wengine,” amesema Nabi.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x