SHIRIKISHO la soka duniani FIFA limesema litaonesha mechi ya robo fainali ya michuano ya African Football League.
Taarifa ya FIFA imeeleza kuwa mechi hizo wataonesha moja kwa moja bila malipo duniani kote ukiondoa Tanzania, Afrika Kusini, na Uingereza.
Mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya Simba SC dhidi ya Al-Ahly Ijumaa hii, uwanja wa Mkapa.
Comments are closed.