Flaviana: Sina mtoto, sina mwanaume

DAR ES SALAAM; MWANAMITINDO Mtanzania, Faviana Matata, amesema bado hajajaliwa kupata mtoto, lakini pia kwa sasa hayupo katika uhusiano wa kimapenzi na mwanaume yeyote.
Amesema amelelewa katika familia yenye maadili, hivyo baada ya ndoa yake kuvunjika haoni sababu ya kujiingiza katika uhusiano ambao hauna mwelekeo.

Habari Zifananazo

Back to top button