GGML yaendeleza mapambano dhidi ya rushwa Geita

GEITA: KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu ya Geita (GGML) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo, itaandaa warsha ya siku mbili inayolenga mapambano dhidi ya rushwa na utoaji  hongo. Warsha hiyo itakayofanyika kuanzia Mei 13 hadi 14, 2025 katika kumbi wa Mtakatifu Aloysius mjini Geita. Hatua hiyo ni mwendelezo … Continue reading GGML yaendeleza mapambano dhidi ya rushwa Geita