Gundo atimkia Barca

BARCELONA imeshinda vita dhidi ya Arsenal kwa kumsajili kiungo Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka miwili.

Gundogan anajiunga na Barca kama mchezaji huru.

Taarifa zinaeleza kuwa Mjerumani huyo amesaini mkataba huo ukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.

Muda wowote kuanzia sasa Barca itamtangaza kiungo huyo kama mchezaji wao.

Habari Zifananazo

Back to top button