Haaland nje, Jota aanza

Dakika saba mbele Manchester City na Liverpool watakipiga katika mwendelezo wa EPL ambapo vikosi vya timu zote mbili vimetoka.

Kwa upande wa Man City, Haaland hajaanza kutokana na majeraha, Jota ameanza kwa upande wa Liverpool.

🔵 MAN CITY XI: Ederson; Stones, Akanji, Dias, Ake; Rodri, Gundogan, De Bruyne; Mahrez, Grealish, Alvarez.
.
🔴 LIVERPOOL XI: Alisson; Alexander-Arnold, Konate, Van Dijk, Robertson; Fabinho, Henderson, Elliott; Salah, Jota, Gakpo.

Habari Zifananazo

Back to top button