loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Baba yake Michael Jackson afariki dunia

Siku mbili baada ya kuadhimisha miaka tisa tangu mwanamuziki Michael Jackson afariki dunia, baba yake ajulikanaye kwa jina la Joe Jackson amefariki. Mzee Joe pia alikuwa baba wa mwanamuziki wa R&B maarufu nchini Marekani, Janeth Jackson.

Mzee Joe huyo ambaye amefariki jana (Jumatano) akiwa na umri wa miaka 89, alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwenye kongosho ambayo yalikuwa yanamsumbua kwa muda mrefu.

Taarifa za kifo cha mzee huyo zilitolewa kwenye mitandao ya kijamii na mwanaye La Toya Jackson na wajukuu zake Tajn na Randy.

Mzee Jackson alikuwa ndiye msimamizi wa bendi ya muziki ya ‘The Jackson 5’ iliyoundwa na wanaye Jackie, Tito, Jermaine, Marlon, na Michael.

MANCHESTER United leo itaikaribisha Liverpool katika ...

foto
Mwandishi: Janeth Mesomapya

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi