loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Afrika fungu la kukosa Kombe la Dunia, Senegal 'out'

Matumaini pekee ya Waafrika katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi yamepotea baada ya Senegal kuondolewa kwa kipigo cha 1-0 kutoka kwa Colombia.

Kama ilivyokuwa kwa Nigeria, timu ya Taifa ya Senegal maarufu kwa jina la ‘Simba wa Teranga’ walihitaji sare yoyote au ushindi ili wafuzu katika hatua ya mtoano lakini ndoto hiyo ilizimwa ghafla na kuzifanya timu zote tano za Afrika kushindwa kusonga mbele.

Yerry Mina ndiye aliyezima matumaini ya Waafrika baada ya kupachika bao katika dakika ya 74.

Kipigo hicho kilikuwa ni shangwe kwa Japan kwani wameweza kupenya hadi hatua ya mtoano licha ya kubamizwa 1-0 na Poland ambao wameshikilia mkia wa kundi H.

MANCHESTER United leo itaikaribisha Liverpool katika ...

foto
Mwandishi: Sauli Giliard

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi