loader
Picha

Ridhiwani akabidhi vifaa vya michezo Chalinze

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete leo amekabidhi seti 60 za jezi kwa ajili ya mashindano ya Ligi ya Jimbo Cup yatakayofanyika Chalinze, mkoani Pwani.

Hata hivyo, vifaa hivyo vya michezo ambavyo vina thamani ya Shilingi Milioni 7.2 vimetolewa na mfanyabiashara wa Subhash Patel kupitia kampuni yake ya vinywaji baridi, Sayona.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya kampuni hiyo zilizoko katika kijiji cha Mboga kilichopo katika kata ya Msoga, Halmashauri ya Chalinze, mkoani Pwani.

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameipongeza timu ya ...

foto
Mwandishi: Joel Shushu

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi