loader
Picha

Mkapa atua Simiyu kufunga Maonesho ya Nanenane

RAIS Mstaafu awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa amewasili mkoani Simiyu leo Jumanne kwa ajili ya kufunga sherehe za Wakulima maarufu kama 'Nanenane' kesho Jumatano.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amempokea kiongozi huyo mstaafu ambaye wakati wa utawala wake alikuwa akisisitiza 'Uwazi na Uwajibikaji".

"Rais Dkt. John Maguguli amemuomba Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa kuja kumwakilisha kwa uzito wa juu kabisa katika kuhitimisha maonesho yetu ya kilimo-biashara.

Maonesho ya wakulima ya Nane Nane kwa mara ya kwanza yamefannyika mkoani Simiyu katika wilaya ya Baradi, katika viwanja vya Nyakabindi, ikiwa ni maonesho ya Kanda ya Ziwa Victoria (Mashariki) ikijumuisha mikoa ya Simiyu, Mara na Geita.

 

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imewafi kisha ...

foto
Mwandishi: Mroki Mroki, Bariadi

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi