loader
Picha

Rais Uhuru Kenyatta azindua sarafu mpya leo

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua sarafu mpya ambazo moja ya faida yake ni kuwa zinaweza kutambuliwa na watu wenye ulemavu wa macho.

Uhuru amezindua sarafu za shilingi 1, 5, 10 na 20  huku akieleza kuwa kamwe uchumi hauwezi kukuwa ikiwa hautatambua uwepo wa wafanyabiashara wadogowadogo pamoja na wale wa kati.

Katika tukio hilo, Uhuru amepokea hundi ya fedha za Kenya Sh800 milioni ikiwa ni gawio kutoka Benki Kuu ya Kenya (CBK) ambayo serikali ni mdau muhimu.

MAANDALIZI ya kuzinduliwa kwa bandari ya Kisumu nchini humu yamepamba ...

foto
Mwandishi: Agencies

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi