loader
Mama mzazi wa Pogba, aula soka la wanawake Guinea

Mama mzazi wa Pogba, aula soka la wanawake Guinea

Mama mzazi wa kiungo wa kati wa Manchester United, Paul Pogba ameteuliwa kuwa balozi wa soka la wanawake nchini Guinea.

Mama huyo, Yeo Moriba ameteuliwa na Shirikisho la soka nchini humo (Feguifoot) muda mfupi baada ya kukutana na rais wa shirikisho hilo Mamadou Antonio Souare.

Moriba amewahi kuichezea timu ya soka ya wanawake nchini Guinea.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya uteuzi wake, Moriba amesema amefurahishwa na uteuzi wake huo.

”Najivunia kile ambacho shirikisho la soka la Guinea na rais wake limefanya,” aliongeza.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/e39c95641e895998d4fc9e8cb15cab82.jpg

LIVERPOOL inatarajia kutoa jaribio kali kwa ...

foto
Mwandishi: Na Mashirika

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi