loader
Picha

Serikali yafafanua umiliki ‘laini’ za simu

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amesema haijakatazwa mtu kumiliki zaidi ya kadi moja za simu ilimradi ziwe za mitandao tofauti.

“Tunatamani kila Mtanzania awe na ‘line’ moja ya simu kwa mtandao mmoja, akitaka nyingine atoe taarifa,” amesema.

Nditiye ameyasema hayo bungeni wakati wa kipindi cha Maswali na Majibu kwenye kikao cha Bunge la 11 kinaoendelea jijini Dodoma.

Ameongeza kuwa lengo kuu ni kupunguza wingi wa kadi hizo ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia vitendo vya uhalifu wa simu ikiwa ni pamoja na wizi akitolea mfano mbinu ya “ile pesa nitumie kwa namba hii.”

MSIMU wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2019/2020 utarejea tena Juni ...

foto
Mwandishi: Na JANETH MESOMAPYA

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi