loader
Picha

Mama amuua mwanawe, amchemsha supu

Mwanamke mkazi wa kijiji cha Buligi, mkoani Geita anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kumkata na mapanga mwanawe wa mwaka mmoja kisha kuchemsha viungo vyake kama supu.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Dismas Kissusi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo Juni 21 mwaka huu.

Kamanda Kissusi ameeleza kuwa historia ya mwanamke huyo Happyness Shedrack (36) inaonesha kuwa ana matatizo ya akili.

Ameongeza kuwa upelelezi unaendelea na ukikamilika mama huyo atapelekwa mahakamani kujibu mashitaka ya mauaji.

TUME ya Sayansi na Teknolojia (Costech), ndiyo pekee inayotoa vibali ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi