loader
Picha

Wema arudi uraiani, aonywa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemrudishia dhamana msanii wa filamu Wema Sepetu baada ya kusota gerezani kwa siku saba.

Wema alikiuka masharti ya dhamana hivyo Juni 17 Mahakama iliamuru aende Gereza la Segerea hadi leo Juni 24.

Mahakama imemuonya msanii huyo kwa kumweleza kuwa, endapo atarudia kukiuka masharti ya dhamana haitasita kumfutia kabisa dhamana hiyo.

Hakimu Mwandamizi wa mahakama hiyo, Maira Kasonde ametoa onyo holo wakati akitoa uamuzi kuhusu mshitakiwa kukiuka masharti ya dhamana.

Wema alikiuka masharti ya dhamana mara mbili, akajisalimisha mahakamani Juni 17, 2019.

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars juzi iliweka tena ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi