loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Vinywaji vya sukari huweza kusababisha saratani

Wanasayansi wa Ufaransa wameeleza uwezekano wa vinywaji vya sukari ikiwa ni pamoja na juisi za matunda kuwa na hatari ya kusababisha saratani.

Wanasayansi hao kutoka Chuo Kikuu cha Srbonne Paris Cite wameeleza kuwa kutokana na viwango vya sukari kwenye vinywaji hivyo, viwango vya sukari huongezeka kwenye damu.

Kwenye utafiti huo uliochapishwa kwenye jarida la matibabu nchini Uingereza, inaelezwa kuwa vinywaji vyenye viwango vya sukari ambavyo ni zaidi ya 5% ndivyo husababisha athari hiyo.

Utafiti huo ulifanywa kwa kuchunguza watu 100,000 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Hatahivyo wadau mbalimbali wameshauri uchunguzi zaidi ufanyike juu ya suala hilo.

JUMUIYA ya Nchi za Afrika, Carribean na Pacifi c (OACPS) ...

foto
Mwandishi: Mashirika

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi