loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere yaibua wabunifu

AWENA Raju ni mhitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambaye amebuni Teknolojia ya Mfumo wa Ujiendeshaji wa nyumba.

Akizungumza na Habari Leo, Raju alisema amebuni mfumo huo kwa kuwa unamwezesha mtumiaji kuwasha na kuzima vifaa vya umeme vya nyumbani vikiwemo taa, feni, friji na vinginevyo kadri mhusika anavyohitaji.

Alisema mfumo huo unamsaidia mtumiaji pale anapokuwa mbali akitaka kuwasha ama kuzima taa zake za nyumbani kwa muda aliojipangia kwa kutumia simu ya mkononi.

“Simu hiyo inakuwa na application ambayo inawasiliana na mfumo ambao una u download kwenye simu inaunganishwa na huu mfumo uweze kuwasiliana,” alisema.

Alisema teknolojia hiyo ambayo ipo kwenye hatua ya elimu, endapo itafika hatua ya biashara itasaidia kupunguza matumizi mabovu ya umeme.

WATOTO 84,625 waliokuwa na utapiamlo mkali, wametibiwa kuanzia mwanzoni mwa ...

foto
Mwandishi: Lucy Ngowi

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi