loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Tisa wa 'tuma ile hela kwa namba hii' wanaswa

 Pwani JESHI la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli kwa kutumia simu za mkononi.

Aidha watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na simu 13 za tochi na smart 4 na laini 22 za kampuni mbalimbali pamoja na orodha ya namba ambazo wanadhaniwa kuwa walitaka kuwatapeli na waliowatapeli.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, watuhumiwa hao walikamatwa Agosti 13, mwaka huu majira ya saa nane mchana katika kata ya Zinga, tarafa ya Yombo wilayani Bagamoyo.

BEKI  wa zamani wa ...

foto
Mwandishi: John Gagarini,

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi