loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Meghan Markle 'akatazwa' kuvaa jeans kwa Malkia Elizabeth

Mke wa Mwanamfalme wa Uingereza Meghan Markle ametahadharishwa kutovaa ‘jeans’ zilizochanika na viatu aina ya ‘wedge’ pindi atakapokwenda kumtembelea Malkia Elizabeth wa nchi hiyo.

Markle na mumewe Prince Harry na mtoto wao waliyempata hivi karibuni Archie wanatarajiwa kumsalimu malkia huyo kwenye kasri yake ya Balmoral.

Inaelezwa kuwa Malkia Elizabeth ameweka wazi kuwa anachukia mavazi hayo hivyo ni vyema Markle aepukane nayo.

Hatahivyo Ikulu ya Kesington imekataa kzungumzia suala hilo, pindi walipotafutwa na moja ya vyombo vya habari nchini humo.

foto
Mwandishi: Mashirika

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi