loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Wanigeria waanza kurejea kwao, kukimbia 'xenophobia'

Zaidi ya raia 300 wa Nigeria waishio nchini Afrika Kusini leo, Jumatano asubuhi wamerejea nyumbani kwao kutokana na machafuko ya 'xenophobia' yanayoendelea nchini humo.

Mamia ya familia walionekana kukusanyika nje ya ubalozi wa Nigeria nchini humo na kisha kuchukuliwa na mabasi yaliyowapeleka hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa OR Tambo tayari kuanza safari.

Raia wa Nigeria ambaye pia ni mmiliki wa shirika la ndege la ndege za Peace Airlines, Allen Onyema, amejitolea kuwarejesha nchini Nigeria, wote watakaokuwa wameridhia kufanya hivyo, kwa kutumia ndege zake.

Inaelezwa kuwa zaidi ya watu 600 wameridhia na kuanza mchakato wa kurudi nchini kwao.

MELI kubwa ya mizigo yenye tani 55,000 imetia ...

foto
Mwandishi: Mashirika

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi