loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Magufuli ateua Mkuu Usalama wa Taifa

Rais John Magufuli amemteua Kamishna Diwani Athumani kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imeeleza kwa, Kamishna Athumani ameapishwa leo Ikulu, Dar es Salaam.

Kabla ya uteuzi huo kiongozi huyo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Baada ya kumuapisha, Rais Magufuli amemtaka Athumani achape kazi kwa juhudi na maaarifa na aweke mbele maslahi ya taifa.

Msuya anachukua nafasi ya Dk. Modestus Kipilimba ambaye atapangiwa kazi nyingine.

WAZIRI wa Nchi Ofi si ya Rais, Tawala za Mikoa ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi