loader
Picha

Bilioni 5.5/- zaboresha huduma vituo afya 13

MKUU wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen Kebwe amesema, Sh bilioni 5.5 zilipokelewa kutoka serikali kuu kwa ukarabati na ujenzi mpya wa miundombinu ya ku- tolea huduma za dharura * O U M 0 0 * G N 6 0 * P D m 0 * T In 0 * kwa wajawazito na wato- to wachanga (CeMONC) katika vituo vya afya 13.

Alisema hayo mjini Ifakara jana katika taarifa yake kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa ziara yake mkoani Morogoro.

Alivitaja vituo vya afya vilivyopokea fedha hizo na halmashauri za wilaya zake katika mabano ni Mtimbira na Ngoheranga ( Malinyi), Kibati ( Mvomero), Mkuyuni , Mikese, Kinonko , Duthumi na Kisemu ( halmashauri ya wilaya ya Morogoro).

Vituo vingine vilivy- opata fedha hizo ni Gairo ( Halmashauri ya Wilaya ya Gairo),Mlimba na Mchombe ( Kilombero), Lupiro ( Ulanga), Kidodi, Mikumi na Malolo ( Kilosa).

“Vituo hivi vyote ukiacha cha Malolo wilayani Kilosa, vimepokea fedha kutoka serikali kuu jumla ya Sh bilioni 5.5,” alisema Dk Kebwe.

Alisema hadi sasa vituo vya afya vya Kibati, Mtim- bira, Kidodi , Mikumi , Gairo, Mlimba naMang’ulawa- nanchi wameshaanza kupata huduma kwenye majengo mapya yaliyojengwa.

Mwanafunzi bora kitaifa kwa upande wa wavulana katika mtihani wa ...

foto
Mwandishi: John Nditi, Kilombero

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi